Global Newsbeat
Feb 28, 2017, 12:56 PM
Share
Kwenye Global Newsbeat:Uganda imetajwa kuwa nchi yenye raia wanaozungumza lugha ya Kiingereza kwa ufasaha barani Afrika.Utafiti uliofanywa na shirika la World Linguistic Society imesema Uganda inaongoza ,ikifuatiwa na Zambia halafu ya Afrika Kusini ikiwa katika nafasi ya tatu na Kenya katika nafasi nne.Je wakubaliana na utafiti huo? Tujadiliane
