Global Newsbeat 1500

May 30, 2017, 12:19 PM

Kwenye Global Newsbeat: Matumizi ya mtandao katika upigaji wa kura yanazidi kukua, lakini bado kuna wasiwasi mwingi kuhusiana na iwapo uteuzi utazingatia uwazi, usalama na haki kwa kila mwananchi. Je ni bora kupiga kura katika vituo vya upigaji kura au kutumia simu yako ya smartphone? Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com#Globalnewsbeat