Global Newsbeat
Jun 13, 2017, 12:05 PM
kwenye Global Newsbeat: Je, ni mbinu gani tunayoweza kutumia kuwafanya watu kula mboga? Watafiti wa Marekani wamesema mboga zinastahili kupewa majina ya mvuto. Kwa maoni yako majina hayo yataleta mabadiliko yoyote?
Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com