Global Newsbeat 1500

Jun 20, 2017, 12:34 PM

Kwenye Global Newsbeat: Nyota wa filamu nchini Marekani Anjelina Jolie yuko mjini Nairobi nchini Kenya ambapo anatarajiwa kuzungumza kuhusu dhulma za kingono katika vita. Je, maswala ya dhulma yanastahili kuangaziwa zaidi?

Tujadiliane kwenye Facebook bbcswahili