Global Newsbeat 1500

Jun 21, 2017, 12:07 PM

Kwenye Global Newsbeat: Sherehe ya kula nyama ya mbwa iliogubikwa na utata katika mji wa Yullin nchini China imeanza licha ya ripoti za awali kwamba ilikuwa imepigwa marufuku mwaka huu.Sherehe hiyo hufanyika kila mwaka katika mkoa wa Guangxi. Je, tamaduni kama hiyo inastahili kuendelea? Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com.