Global Newsbeat 1500

Jun 28, 2017, 12:02 PM

Chile itajaribu kuzuia mipira kutomfikia nyota wa timu ya Ureno Cristiano Ronaldo wakati mataifa hayo mawili yatakapokutana katika mchuano wa nusu fainali ya kuwania kombe la Confederation mjini Kazan. Je, ndoto hiyo ya Chile itatimia? Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.