GNB SWAHILI 1000 EAT

Aug 04, 2017, 06:40 AM

Utafiti umebaini kwamba wanaume wanaotazama filamu za ngono wakiwa na umri mdogo wana uwezekano mkubwa wa kuwa na ubaguzi wa kijinsia na kasumba za kiume.

Aidha wana uwezekano mkubwa pia wa kuwa wadanganyifu katika ndoa.

Utafiti huo ulifanyika katika chuo kikuu cha Nebraska.