GNB SWAHILI 1500 EAT

Aug 14, 2017, 11:27 AM

Pendekezo la kuwashtaki Mapadre wasiotoa ripoti kwa polisi kuhusu wenzao wanaokiri kuwanyanyasa watoto kingono latolewa Australia! Unakubaliana na pendekezo hilo? sema nasi.