GNB SWAHILI 1500 EAT

Aug 16, 2017, 12:06 PM

Global Newsbeat: Maadhimisho ya miaka 40 ya kifo cha mfalme wa ‘rock and roll’ Elvis Presley yamefanyika: Je,unamkumbuka vipi mwanamuziki huyo wa Marekani? Sema nasi kwenye facebook na twitter BBC Swahili.