GNB SWAHILI 1000 EAT

Aug 31, 2017, 06:29 AM

Tiba ya saratani ya damu inayowezesha kinga ya mwili kushambulia viini vya saratani yaidhinishwa Marekani. Tiba hiyo itagharimu $475,000!