Global NewsBeat Swahili 1500 EAT

Aug 04, 2016, 11:22 AM

Hivi leo kwenye Global Newsbeat: Utafiti mpya umebaini kuwa viwango vya kufanya mapenzi kwa vijana waliozaliwa miaka ya 90, vijana wa sasa ‘Tinder generation’, vimeshuka kupita kiasi!