GNB SWAHILI 1500 EAT

May 16, 2017, 11:54 AM

#GNBSwahili: Mabingwa wa EPL Chelsea wameshinda mechi 29 kati ya 38 msimu huu! Iwapo watainyuka Sunderland jumapili, watavunja rekodi ya kushinda mechi nyingi EPL. Sikiliza.