Global Newsbeat 1500

Jun 07, 2017, 12:46 PM

Kwenye Global Newsbeat: Mshambuliaji wa zamani wa England Andy Cole amesema ana safari ndefu katika kupona kwake upandikizwaji wa Figo aliofanyiwa.Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United, Newcastle na Blackburn alipata tatizo la kuharibikiwa Figo mwaka 2015.

Je, ni habari za mchezaji gani ungependa kuzifahamu zaidi?

Tujadiliane kwenye facebook bbcswahili.com