Global Newsbeat 1500

Jun 19, 2017, 12:14 PM

Kwenye Global Newsbeat: Wanawake wachanga wa Tunisia, hutarajiwa kusalia mabikira hadi wanapoolewa, jambo ambalo limewafanya wanawake wengi kufanyiwa upasuaji ili kurudisha ubirika wao. Je, mila kama hizi zinastahili kudumishwa au la? Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com